ASKARI
15 wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam waliofukuzwa kazi
hivi karibuni kwa kosa la kupokea rushwa ili kupitisha mizigo bandarini
kwa njia za magendo wameibuka na kutoa siri ya kufukuzwa kwao.
Mmoja
wa askari hao akizungumza kwa niaba ya wenzake, alisema sababu ya
kufukuzwa kwao imetokana na wao kukamata magari ya vigogo serikalini,
akiwemo aliyekuwa Rais
↧