Serikali imeendelea kuongeza kodi kwenye magari makuukuu, bia,
vinywaji vikali, na baridi kama ambavyo kodi imekuwa ikifanya kila
mwaka na kuwaathiri watumiaji.
Kutokana na hali hiyo wanywaji
pombe na sigara pamoja na waagizaji magari watalazimika kutumia fedha
nyingi zaidi ili kupata huduma hizo.
Vilevile baadhi ya
bidhaa zisizokuwa za mafuta nazo zimefanyiwa marekebisho na
↧