MFANYAKAZI wa Jaji Kileo, Philemon Laiza (27) anadaiwa kumchinja
mtumishi wa ndani wa jaji huyo, ambaye ni raia wa Kenya, Perpetua Mainab
(30).
Mtuhumiwa huyo, ambaye alikuwa ni mtunza bustani katika nyumba
ya Jaji Kileo, alifanya unyama huo wiki iliyopita.
Akizungumza jijini
Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova,
alisema mwili wa mtumishi huyo wa
↧