MWANAMUME mmoja katika mtaa wa Mwanzo,
Eldoret anauguza majeraha baada ya kupigwa na mkewe kufuatia mzozo
uliotokana na yeye kupatikana akitazama runinga kabla ya kumaliza kazi
ya nyumbani.Kwa mujibu wa majirani mkewe mwanamume huyo,
alirejea nyumbani jioni kutoka kazini mnamo Jumatatu na kumkuta
akitazama televisheni. Mara moja, alimrukia na kumpiga vibaya.Mwanaume
huyo aliokolewa na
↧