Siku chache baada ya aliyekuwa mkali wa Hip Hop Bongo, Albert Kenneth
Mangweha ‘Ngwea’ kupumzishwa kaburini kufuatia kifo cha usingizini
nchini Afrika Kusini kilichotokea Mei 28, mwaka huu, mambo kibao
yanazidi kuibuka.
Mtoto wa Ngwea akiwa na baadhi ya wanafamilia wakati wa mazishi ya baba yake.
Habari zinadai kuwa familia ya marehemu Ngwea
imemkataa mtoto aliyeletwa na mama yake
↧