Siku kama ya leo (June 12) mwaka 1964 viongozi wapatao 8 wa chama cha
ANC akiwemo rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela walihukumiwa
kwenda jela, ambako mzee Mandela alitumikia kifungo kwa miaka 27.
Mzee Madiba ambaye leo anafikisha siku ya 5 akiwa amelazwa
hospitalini akisumbuliwa na mapafu huko Afrika Kusini, ndiye alikuwa
rais wa kwanza mweusi kwa taifa hilo.
Kwa mujibu
↧