Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro, Leonidas Gama
WAFANYAKAZI wa Supermarket ya Nakumatt,
iliyopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wameulalamikia uongozi wa duka
hilo kwa madai ya kuwanyanyasa na kuwaomba rushwa ya ngono.Wafanyakazi
hao ambao tayari walishafikisha malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro, Leonidas Gama walidai wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya
unyanyasaji ikiwemo kuombwa
↧