Miungano ya kijamii ikiongozwa na Bunge la mwananchi,Muhuri
na pawa 254 miongoni mwa mengine yameandaa maandamano ya pili kupinga
juhudi za wabunge kuhujumu tume ya kuratibu mishahara nchini kenya SRC
ili kujiongezea mishahara ya hadi laki nane kinyume na ilivyopendekezwa
na SRC.
Tofauti na wiki kadhaa zilizo pita ambapo waandamanaji
waliwaelekeza nguruwe walioandikwa majina ya
↧