Mwanafunzi wa Chuo kikuuu cha Dodoma, ndugu Justice Donatus amefanikiwa kutengeneza mtandao wake wa kijamii uitwao MAYOCOO ambao utasaidia kuiunganisha jamii ya kitanzania na kimataifa..
Akiongea na mwandishi wetu mjini Dodoma, Justice ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo hicho ameeleza furaha aliyo nayo kwa kutimiza ndoto yake ya
↧