SAKATA LA HOUSE GIRL ALIYEJINYONGA KISA PENZI LA CHRISTOPHER
Mfanyakazi wa ndani aliyejiua kisa mapenzi aitwaye Devotha Sanga leo ameagwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Marehemu Devotha alijinyonga Juni 4 mwaka huu akiwa nyumbani...
View ArticleMWANAUME AFARIKI DUNIA NDANI YA URODA GEST HOUSE ILIYOKO MANZENSE LEO...
Difenda ya polisi ikiuchukua mwili wa marehemu... Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. Kwa...
View ArticleWASHINDI WA TWEET ILIYOMKUNA REGINALD MENGI AKABIDHIWA KITITA CHA SH. MILIONI...
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la, "Tweet Wazo Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly Gaudence Kyomo katika...
View ArticleWAASI WA M23 WAKUBALI KUREJEA KATIKA MEZA YA MAZUNGUMZO YA AMANI NA SERIKALI
Kiongozi wa kundi la M23 Bertrand Bisimwa Photo AFP / Isaac Kasamani Kundi la waasi la M23 la nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC linarejea katika mazungumzo ya amani na serikali ya Kinshasa...
View ArticleMFULULIZO WA VIFO VYA WASANII WAMFANYA DOKII AFUNGUKE KUWA NI MUNGU ANAWAADHIBU
MWIGIZAJI Bongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameibuka na kusema kuwa vifo vya wasanii vimetokea kutokana na kujisahau hivyo Mungu ameamua kuwaadhibu. Akiongea na mwandishi wetu katika Viwanja vya Leaders...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA JINSIA NA WATOTO AIBUA KASHIFA YA RUSHWA YA NGONO KATIKA CHUO...
Suala la uwepo wa rushwa ya ngono kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limetinga bungeni.Suala hilo Lilijitokeza jana wakati Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu (CCM), alipomaliza kujieleza...
View ArticleTUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS LIVE MTANDAONI...FUATILIA HAPA LIVE
Fuatilia Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 live moja kwa moja hapa kuaniza tukio hili la Red Carpet likifatiwa na tukio la utoaji tuzo litakaloanza rasmi saa tatu usiku hadi litakapofikia...
View Article"MNAOWANIA URAIS MSIKUBALI KUPOKEA PESA ZA HUYU MFANYABIASHARA FISADI AMBAYE...
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi ametoa ya moyoni kwa wote wenye mpango wa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka miwili ijayo. Bwana Mengi ameyatoa maombi yake ya moyoni...
View ArticleNDOA YA PREZZO ILIVUNJIKA KUTOKANA NA UMALAYA WAKE NA MATUMIZI YA MADAWA YA...
Siku za hivi karibuni rapper mwenye asili ya Kenya na Tanzania Prezzo alitweet kuwa anaenda mahakamani huko Kenya lakini hakuweka wazi alikuwa anakabiliwa na kesi gani. Yawezekana ukawa unashangaa...
View Article"NDOTO ZANGU NI KUOLEWA NA MSANII AY"....SALAMA JABIR
Mtangazaji mahili wa show za TV/Radio aliyeisimamisha wima show mpya na kali inayorushwa kupitia channel 5 ‘Mkasi’ namzungumzia Salama Jabir ametupia ‘neno’ kupitia kipindi hicho kuwa huenda siku...
View ArticleMBUNGE WA MTWARA MJINI AKAMATWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUCHOCHEA VURUGU ZA...
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limemkamata mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnain Murji likimtuhumu kuchochea vurugu za kupinga mradi wa bomba la gesi kutoka mkoani humo kwenda jijini Dar es Salaam....
View ArticleKALA JEREMIAH NA OMMMY DIMPOZ WATISHA BAADA YA KUJINYAKULIA TUZO TATU TATU...
Mwaka huu umekuwa mwaka mzuri zaidi kimuziki kwa msanii toka rock City Mwanza Kala Jeremiaha ambae maombi yake kwa ‘Dear God’ yamesikika na amepata majibu kwa njia ya kipekee na wimbo wake ‘Dear God’...
View ArticleFEDHEHA : FATMA WA MALAWI NA NJEMBA IITWAYO ONEAL WAKIOGA PAMOJA NDANI YA...
<!-- adsense --> Jumba la Big Brother limeendela kutowatendea haki akina dada wa kiafrika ambao wako ndani ya jumba hilo lililojaa kamera mpaka chooni..... Chochote...
View ArticleHII NDO LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA KILLLIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013
Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Linah, Amini, Richie Mavoko, Mataluma, Hussein Jumbe, Zahir Zorro, Patricia Hillary na Barnaba. Wengine...
View ArticleKIGODA CHA MWENGE WA UHURU CHAIBIWA JIJINI ARUSHA....
KATIKA hali isiyo ya kawaida na inayoashiria uzembe katika ulinzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, juzi kijana mmoja mkazi wa eneo la Phillips katika Kata ya Sekei jijini Arusha, Hamad Rashid (32) aliiba...
View ArticleBAADHI YA PICHA ZA WASHINDI WA KILIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013
Kala Jeremiah akipokea tuzo zake. Gardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee. Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena! Tuzo ya Video Bora ya Mwaka..Baadae! Mashujaa Band...
View ArticleCHADEMA WANAJITEKENYA NA KISHA WANACHEKA WENYEWE
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Mbeya Mjini kimesema kuwa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) wilayani humo kimefikia hatua ya kujichekesha chenyewe kisha kucheka....
View ArticleRAIS KIKWETE AMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) KWA KUFIWA NA MUMEWE
Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita. Rais Dk....
View ArticleMBUNGE WA MTWARA ASOMEWA SHITAKA LA UCHOCHEZI NA KUREJESHWA RUMANDE BAADA YA...
Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnein Murji (kushoto) akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mtwara jana kusomewa shtaka la kufanya uchochezi. (picha: Haika Kimaro/MWANANCHI)...
View Article"KAMA NINGEKUWA RUGE NINGEMPIGIA MAGOTI LADY JAYDEE NA KUMUOMBA...
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike katika tuzo za...
View Article