UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Mbeya Mjini
kimesema kuwa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) wilayani humo
kimefikia hatua ya kujichekesha chenyewe kisha kucheka.
Wakizungumza na waandishi wa habari Jijini Mbeya leo, Umoja huo umesema
kuwa hatua hiyo ya Chadema inatokana na kuona dalili zote za kushindwa
katika uchaguzi mdogo wa kata ya Iyela unaotarajiwa
↧