Rais
Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani
kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari
Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.
Rais
Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki
wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM,
Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe
↧