Mbunge
wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnein Murji (kushoto) akiingia katika chumba
cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mtwara jana kusomewa shtaka la
kufanya uchochezi. (picha: Haika Kimaro/MWANANCHI)
Mbunge
wa jimbo la Mtwara Mjini (CCM), eneo ambalo limekumbwa na vurugu hivi
karibuni kusini mwa Tanzania, Hasnein Murji na watuhumiwa wengine 91
wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu
↧