Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic
FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya
Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike
katika tuzo za KTMA, ni ishara ya mwanadada huyo kukubalika katika jamii.
Mtangazaji huyo amesema kwamba Jaydee ni mwanamke mwenye uthubutu katika
harakati za kuyasaka maisha na kwamba yeyote mwenye
↧