AFISA WA BANDARI ANASWA AKIOMBA RUSHWA YA NGONO KWA MWANAFUNZI ILI AMPE AJIRA...
Mtuhumiwa akihojiwa na polisi MWANAMUME aitwaye Andrew Kabula (34), mkazi wa Kimara Mwisho jijini, hivi karibuni alinaswa gesti akiwa na mwanafunzi ‘denti’ aliyetaka kufanya naye ngono ili ampatie...
View ArticleTUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS ZITARUSHWA LIVE MTANDAONI....
Usiku wa tuzo za Muziki Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 unatarajiwa kuonyeshwa live mtandaoni siku ya Jumamosi, Juni 8. Tofauti na miaka mingine ambayo tukio la utoaji tuzo...
View ArticleVYAMA VYA UPINZANI VYANUIA KUUNGANA 2015
Vyama vya siasa vyenye idadi ndogo ya wanachama nchini vimekubali hatua ya kuungana na kuwa Muungano wa vyama (Alliance) kwa lengo la kupata nguvu ya uwakilishi wa kuingia katika Bunge Jipya la...
View ArticleMTANZANIA ATEULIWA KULIONGOZA JESHI LA KULINDA AMANI HUKO DARFUR
Lt. Jenerali Paul Ignace Mella,Mkuu Mpya wa Jeshi la Mseto kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika maarufu kama UNAMID linalolinda Amani huko DARFUR Nchini Sudan. Lt. Jenerali. Mella kutoka Jeshi...
View ArticleBABA YAKE DIAMOND YUPO HOI ANAUMWA......DIAMOND HAJAWAHI KANYAGA KUMJULIA HALI
BABA wa msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma yupo hoi akisumbuliwa na ugonjwa wa miguu. Kwa mujibu wa chanzo makini, Baba Diamond anasumbuliwa na tatizo la miguu kuvimba hali ambayo imemfanya...
View ArticleM 2 THE P AREJEA TANZANIA KUMZIKA MANGWEA LEO
Rafiki wa wa karibu wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa amelazwa nchini Afrika Kusini amerejea Tanzania na yuko njiani akielekea mkoani Morogoro kwaajili ya kushiriki mazishi ya swahiba wake Mangwea...
View ArticleMAANDALIZI YA SAFARI YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA KATIKA UWANJA WA JAMHURI...
Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuaga mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani morogoro. Utaratibu huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri...
View ArticleMAREKANI YAUNDA SHERIA KUWADHIBITI WANAUME WANAOVAA SURUALI CHINI YA MAKALIO YAO
Sina shaka umeshasikia style za uvaaji wa suruali hususan kwa wanaume zenye majina kama mlegezo au kata k, au yawezekana ukawa huzijui kwa majina lakini umeshashuhudia vijana wamevaa suruali chini ya...
View ArticleKADA WA CHADEMA ALIMWA SHOKA LA MGONGONI NA WATU WANAODAIWA KUWA NI WALINZI...
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni kada wa CHADEMA amelimwa shoka la mgongoni na watu wanaodaiwa kuwa ni walinzi wa CCM wakati wa harakati za kampeni za uchaguzi wa udiwani huko...
View ArticlePICHA ZA M 2 THE P AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WA KUMUAGA ALBERT NGWEA MOROGORO...
M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta...
View ArticleHATIMAYE NGWEA AZIKWA KWENYE MAKABURI YA KIBONDA MKOANI MOROGORO....HIZI NDIO...
Baada ya siku kadhaa zilizokuwa na kila aina ya harakati, ugumu na majonzi makubwa, Albert Mangweha aka Ngwair leo amezikwa kwenye makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro ambako ni nyumbani kwao. Kabla ya...
View ArticleKHADIJA KOPA AKIELEKEA UWANJA WA NDEGE JANA KWA AJILI YA MSIBA WA MUMEWE...
Khadija Kopa akilia kwa uchungu mara baada ya kupata taarifa za mumewe kufariki. Akipewa sapoti wakati akielekea uwanja wa ndege. Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda...
View ArticleTASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MAMA MZAZI WA JAFFARI ALLY (MUME WA KHADIJA KOPA)
Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa, akilia kwa uchungu nyumbani kwake Tandale jijini Dar. Simanzi na majonzi vilitawala msiabani hapo. Akina mama waliofika kumpa pole Mama Mzazi wa...
View ArticleTUSIPOCHUKUA HATUA, DAWA ZA KULEVYA ZITAWAMALIZA WANAMICHEZO NA WANAMUZIKI WA...
DAWA za kulevya ni hatari, ni hatari sana. Maisha ya baadhi ya wasanii na wachezaji yamepotea kutokana na matumizi ya dawa hizo.Aidha, dawa za kulevya husababisha baadhi ya wasanii na wachezaji...
View ArticleDIVA WA CLOUDS FM NAYE ATOA PICHA YA NUSU UCHI ILI KUMTEKA PREZZO...
Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo mitandaoni, Diva wa clouds fm ameamua kuweka picha yake ya NUSU UCHI ili kupotezea Aibu hiyo.. "Love at the first sight...
View ArticleHUU NDO UTENGENEZAJI WA BIKRA FEKI....WANAUME MSIKUBALI KUIBIWA
WANAUME,kuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi. Ukiacha hawa wengne ambao...
View ArticleNGONO ZAANZA KUTAWALA JUMBA LA BIG BROTHER.....VIDEO YA BOLT NA BETTY YANASWA...
Mpaka sasa tayari tumeshuhudia couple 4 za housemates katika Big Brother ‘The chase’ , lakini couple ya mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt ndio ilikuwa ya kwanza kufahamika katika wiki ya kwanza...
View ArticlePICHA ZA MAANDALIZI YA JUKWAA LA KILL MUSIC AWARDS......TUKIO LITARUSHWA LIVE...
Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao. Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8...
View ArticleMPENZI WA ALBERT NGWEA AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WA MAZISHI
MAJONZI na vilio vilitawala juzi katika zoezi la kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ kwenye Viwanja vya Leaders lakini mmoja wa waliotia fora katika kuangua kilio alikuwa dada mmoja mzungu...
View ArticleMTANGAZAJI WA TIMES FM ( KHADIJA SHAIBU) AJIANIKA "AKIKATA GOGO " CHOONI
MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa chooni akikata gogo. Picha...
View Article