Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za
mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA
watajua hatma yao.
Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi
wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Hizi ni picha za jinsi maandalizi
ya jukwaa na ukumbi yalipofikia.
Mafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo
↧