Mpaka sasa tayari tumeshuhudia couple 4 za housemates katika Big
Brother ‘The chase’ , lakini couple ya mu Ethiopia Betty na mu Sierra
Leon Bolt ndio ilikuwa ya kwanza kufahamika katika wiki ya kwanza toka mchezo uanze (May 26).
Couple ya Bolt na Betty ndio ilikuwa ya kwanza pia ku’kiss kama
uthibitisho wa ‘love at first sight’. Baada ya hapo maisha ya mjengoni
yaliendelea
↧