Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni kada wa CHADEMA amelimwa shoka la mgongoni na watu wanaodaiwa kuwa ni walinzi wa CCM wakati wa harakati za kampeni za uchaguzi wa udiwani huko Arusha..
Mtu huyo aliyefahamika kwa jina moja la Amos amelazwa katika hospitali ya Mount Metu mkoani humo...
Mtandao huu unaendelea kufuatilia chanzo halisi na undani
↧