Sina shaka umeshasikia style za uvaaji wa suruali hususan kwa wanaume
zenye majina kama mlegezo au kata k, au yawezekana ukawa huzijui kwa
majina lakini umeshashuhudia vijana wamevaa suruali chini ya makalio.
Kama ambavyo mabinti wamekuwa wakilaumiwa kwa mavazi ya kuonyesha
miili yao hasa sehemu nyeti, na upande wa wanaume wamekuwa
wakilalamikiwa kwa style hiyo ya uvaaji ambayo
↧