Meza kuu hii
ikiwa ni maandalia ya kuuaga mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea
aliyefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani morogoro.
Utaratibu
huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri mkoani morogoro kwa lengo la
kuwapa fursa wakazi wa mji huo kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla
ya maziko
Umati mkubwa
wa wakazi wa morogoro waliojitokeza katika zozi za kuwaga
↧