Rafiki wa wa
karibu wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa amelazwa nchini Afrika
Kusini amerejea Tanzania na yuko njiani akielekea mkoani Morogoro
kwaajili ya kushiriki mazishi ya swahiba wake Mangwea jioni ya leo (June
6).
Akizungumza na
Times Fm asubuhi hii Mgaza Pende a.k.a M 2 The P amewashukuru
watanzania kwa kumuombea japo hali yake bado haijawa nzuri sana lakini
ameamua
↧