BABA wa msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma yupo hoi akisumbuliwa na ugonjwa wa miguu.
Kwa
mujibu wa chanzo makini, Baba Diamond anasumbuliwa na tatizo la miguu
kuvimba hali ambayo imemfanya ashindwe kutembea lakini cha kushangaza
mwanaye, Diamond hajaenda kumjulia hali.
“Baba Diamond ni mgonjwa kwa muda mrefu sana lakini Diamond hajawahi kuja kumuona hata siku moja,” kilisema chanzo
↧