Lt.
Jenerali Paul Ignace Mella,Mkuu Mpya wa Jeshi la Mseto kati ya Umoja
wa Mataifa na Umoja wa Afrika maarufu kama UNAMID linalolinda Amani
huko DARFUR Nchini Sudan.
Lt. Jenerali. Mella kutoka Jeshi la
Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) anachukua nafasi iliyoachwa na Lt.
Jenerali Patrick Nyamvumba kutoka Rwanda ambaye amemaliza muda wake
Machi 31,2013.
---------
Kwa mara
↧