Vyama vya siasa vyenye idadi ndogo ya wanachama nchini vimekubali hatua
ya kuungana na kuwa Muungano wa vyama (Alliance) kwa lengo la kupata
nguvu ya uwakilishi wa kuingia katika Bunge Jipya la Shirikisho baada ya
rasimu mpya kupitishwa kwa ajili ya uchaguzi ujao.Hatua hiyo
imekuja baada ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya kutangaza rasimu
iliyotoa mwelekeo wa kupatikana kwa Katiba Mpya ya
↧