Usiku wa tuzo za Muziki Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Tanzania
Music Awards 2013 unatarajiwa kuonyeshwa live mtandaoni siku ya
Jumamosi, Juni 8.
Tofauti na miaka mingine ambayo tukio la utoaji tuzo tu ndio lilikuwa
likionyeshwa kupitia kwenye TV pekee, na kuwanyima fursa Watanzania
waishio nje ya nchi kufuatilia moja kwa moja, mwaka huu watumiaji wa
mtandao wa Internet
↧