HII NDO RASIMU YA KATIBA MPYA KWA AJILI YETU WATANZANIA.....MAMBO YOTE YAKO...
<!-- adsense --> Rasimu ya katiba ipo tayari kwa ajili yetu watanzania..... Ili kuisoma, bofya hapo chini << RASIMU YA KATIBA MPYA>>.
View ArticleMSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY) KATIKA BIG BROTHER YUKO HATARINI...
Kama hisia za wengi zilivyokuwa kuhusiana na Betty kulipiza kisasi, mambo yameenda hivyo.. Betty ambaye ni Head of House wa Diamond house amemuokoa Bolt na kumuweka kikaangoni Feza.. Katika Ruby house,...
View ArticleSIMULIZI: MZEE WA MIAKA 80 ATENDEWA UNYAMA WA KUTISHA...... FAMILIA YAKE...
MAISHA ya familia ya mzee Athumani Mwenda, 80, ni ya mateso makali baada ya nyumba yao kubomolewa ikiwa na vitu ndani. Mzee huyo na familia yake sasa wamekuwa wakiishi nje huku wakikabiliwa na njaa...
View ArticleALBERT NGWEA APOKELEWA KWA HUZUNI KUBWA, MWILI WAKE UMEPELEKWA HOSPITALI YA...
Mwili ukipelekwa muhimbili.... Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu...
View Article"SITANYAMAZA KUSHAMBULIWA KWANGU.NI LAZIMA JAMII IJUE"...HII NI KAULI YA...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda (wa tatu kulia) akiwasili jana. MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda amerejea chini jana kutoka Afrika...
View ArticleMWANADADA WA KITANZANIA ANAYETARAJIWA KUNYONGWA IJUMAA HII NCHINI MISRI BAADA...
Kuna hizi habari ambazo zimeanza kusambaa kwa kasi siku ya jana katika mitandao ya kijamii..... Taarifa hizo zinamuonesha msichana ( pichani) wa kitanzania ambaye anadaiwa...
View ArticleMUONEKANO WA JUKWAA NA SEHEMU YA KUUAGA MWILI WA ALBERT NGWEA NDANI YA...
Sehemu hii ndipo mwili wa marehemu Albert Mangweha utawekwa hapa tayari ya kuanza zoezi zima la kumuaga. Kwa wale mashabiki wa EAST Cost nadhani watakuwa wanamfahamu msanii huyu anajulikana kwa jina...
View ArticleMWILI WA ALBERT MANGWEA UMESHAWASILI VIWANJA VYA LEADERS CLUB KWA AJILI YA...
Mwili wa marehemu Albert Ngwea umeshafika viwanja vya Leaders club.... Updates zinakuja<!-- adsense -->
View ArticleMAMBO 10 KUHUSU DIAMOND LIKIWEMO LA KUMILIKI ZAIDI YA BILIONI MOJA KATIKA...
1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1. 2. Yupo kwenye mazungumzo na promoter wa Rwanda kufanya show moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 190. 3....
View ArticleVIDEO YA MATEKA AKING'OLEWA MENO KIKATILI...NI UNYAMA ULIOPITILIZA
Pengine umewahi kusisimka mwili kwa kusoma habari ama kuhadithiwa taarifa za watu kufanyiwa ukatili wa kupigwa, kutobolewa macho, kung'olewa kucha, kupigwa viwiko vya viungo vya mwili na pengine...
View ArticleUPDATES TOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KATIKA SALAMU ZA MWISHO KWA ALBERT NGWEA
Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea likiwa limeshawasili katika viwanja vya leaders tayari kwa wakazi wa jiji la Dar kutoa Heshima zao Za Mwisho Kabla ya Mwili Kusafirisha Mkoani Morogoro...
View ArticleKIJANA ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUNASWA AKIMBAKA BINTI WA MIAKA 10 MKOANI...
Mkazi mmoja wa Mwangata katika Manispaa ya Iringa amenusurika kuuwawa na wananchi baada ya kukutwa akimbaka binti wa miaka kumi. Tukio hilo linaelezwa kutokea jana saa nane mchana, pale ambapo mazazi...
View ArticlePICHA TOKA MOROGORO AMBAKO ALBERT MANGWEA ATAZIKWA BAADA YA KUAGWA VIWANJA...
Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea. Masufuliya ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro. Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa padogo....
View ArticleMAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMUAGA ALBERT NGWEA.....SALAMU ZA MWISHO ZIMEANZA...
Diamond Platnumz akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Albert Mangwea kutoa heshima zake za mwisho. Rais wa Chama cha Wanamuziki Nchini. Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza...
View ArticleMTANZANIA MWENZETU ANATARAJIWA KUNYONGWA IJUMAA HII HUKO MISRI.....HII NI...
Asubuhi tuliripoti juu ya kuwepo kwa mtanzania mwenzetu anayetarajiwa kunyongwa ijumaa hii ( bado hatuna uhakika )..... Tumefanikiwa kuinasa video wakati akikamatwa na madawa ya...
View ArticleANASA ZA DUNIA NA UVIVU WAMFANYA MR. NICE ATIMULIWE NA GRANDPA RECORDS YA KENYA
Mambo yamwendea mlama msanii kutoka Tanzania Mr.Nice ambae alikuwa ameula katika nchi jirani ya Kenya kwa kusaini mkataba mnomo na familia kubwa ya Muziki ya GrandPa Records inayowapeleka mbele sana...
View ArticlePICHA TOKA MOROGORO AMBAKO MWILI WA ALBERT NGWEA UMEPOKELEWA TAYARI KWA MAZISHI
Msafara wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA...
View Article"UMASIKINI WA AKILI YA VIONGOZI NDO SABABU INAYOWAFANYA WAINGIE MIKATABA...
Viongozi wa afrika wanastahili kulaumiwa kutokana na rushwa na uhamishwaji haramu wa mitaji unaofanywa na makampuni ya kimataifa, asema mkurugenzi mtendanji wa IPP, Bw. Reginald Mengi video <!--...
View ArticleMUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA
Khadija Omar Kopa akiwa na mumewe Jaffari Ally enzi za uhai wake.Mume wa Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Omar Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Marehemu...
View Article