Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANYARWANDA WANASWA LIVE WAKIJIUZA JIJINI DAR

POLISI Mkoa wa Ilala, jijini Dar es Salaam imeendesha oparesheni maalum ya kuwanasa machangudoa wanaofanya biashara hiyo haramu katika eneo lao na kufanikiwa kuwaweka ‘mtu kati’ makahaba kibao,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALIO YAANIKWA MBELE YA WABUNGE KATIKA SHINDALO LA MISS TABORA

Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha  matako  nje.... Shabiki huyo  alipanda jukwaani kumkumbatia  msanii  maarufu nchini , Ommy Dimpoz  wakati alipokuwa akitoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBAKA ACHOMWA MOTO HUKO MBAGALA BAADA YA KUIBA BEGI NA SIMU.....

Jamaa  akimmalizia mtuhumiwa kwa  tofali...  Kibaka  mmoja  amejikuta  akiyaaga  maisha ya  uraiani  baada ya   kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali.... Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABADILIKO: MWILI WA NGWEA UTALETWA JUMANNE NA SIYO KESHO

 Mwili wa ngwea  utaletwa Tanzania siku ya jumanne  na  siyo  kesho ... Taarifa hizi nikwa mujibu wa tweet alotweet Millard Ayo aliyeko nchini africa kusini ulipo mwili wa marehemu Ngwair <!--...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAFU WA BIG BROTHER: HUYU NI MUWAKILISHI WA NIGERIA AKIWA UCHI MBELE YA...

<!-- adsense --> Hiki  ni  kituko  kingine  baada  ya  kile  cha  jana  kilichoanika  nyeti  za mrembo wa Kenya.... Leo  ilikuwa  ni  zamu  ya  mrembo  wa  Nigeria  , Beverly Osu kuzianika  nyeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"TANZANIA HAIWEZI KUIOMBA RADHI NCHI YA RWANDA"......BENARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema kamwe Tanzania haitaiomba radhi Rwanda, baada ya Rais Jakaya Kikwete kuishauri nchi hiyo kufanya mazungumzo na upinzani ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIG BROTHER NI SHINDANO LA LAANA......WENGI WAO NI WACHEZA FILAMU ZA...

<!-- adsense --> Kinachoonekana  ni  kwamba, BBA ni  sawa  na  shindano la  laana  ambamo  asilimia  kubwa  ya  washiriki wake  ni  wacheza  filamu chafu  au  watu  wenye  skendo  mbaya.... JUZI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REGINALD MENGI AMPONGEZA KIKWETE KWA KUUZA NCHI NA KUWAACHA WATANZANIA WAKIUMIA

  WAKATI wawekezaji wakigeni wakizidi kunufaika huku watanzania wakiendelea kuishi katika lindi la umaskini,Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media Reginald Mengi ameipongeza Serikiali ya Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDDAH TOKA KENYA AYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER..... MWAKILISHI WA...

Maneno  huumba....!!!  Huddah  ameliaga  shindano hilo... ------------------------ Huddah ambaye ni mshiriki kutoka Kenya   alijikuta akibubujikwa na machozi  jana wakati akimuelezea Angelo (SA)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WANASWA KATIKA DANGURO LA UCHI MJINI DODOMA....WALIKUWA WAKITOA PESA...

Katika ukumbi maarufu wa muziki au kwa jina jingine ‘club’ (jina linahifadhiwa) uliopo mjini  Dodoma mengi yanatokea. Watu wanaingia mmoja mmoja, wengine kwa makundi na baadhi wapo nje wakipunga kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMNYONYA MWANAMKE AU MWANAUME AU KUFANYA MAPENZI MDOMONI HUSABABISHA KANSA...

Kuna wakati mtu anaweza kuweka hadharani siri yake kwa nia njema ya kuokoa maisha ya watu wengine watokana na ushuhuda wake, na hii ni kwa kuwa watu wengi huwa wagumu wa kubadilika hadi waone mfano hai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LADY JAYDEE NA T.I.D WASAMEHEANA BAADA YA KUZINGUANA KISA SHOW YA JIDE

Wakati mwingine matatizo hukutanisha watu waliokosana na kuufufua tena urafiki wao. Harakati za maandalizi ya mazishi ya marehemu Albert Mangwea zimewakutanisha marafiki wawili walioingia kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA NGWEA YAKUSANYA MILIONI 32....MAMA MZAZI APANDWA NA PRESHA BAADA YA...

KAMATI ya Mazishi ya aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Albert Mangwea ‘Ngwea’, mpaka jana mchana ilikuwa imekusanya jumla ya Sh milioni 32 kutoka kwa wadau mbalimbali. Kamati hiyo inahitaji Sh milioni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

COCACOLA WAMNUNULIA GARI JIPYA DIAMOND

Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola. Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIG BROTHER: MSHIRIKI WA TANZANIA APEWA KAZI YA KUTEMBELEA MIGUU NA MIKONO...

SHINDANO la Big Brother Afrika limeendelea kwa washiriki wawili kutolewa katika wiki ya kwanza ya mchezo huo ambao unashirikisha washiriki wapatao 28 kutoka nchi 14 barani Afrika.  Jumatatu iliyopita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: MELI YA MIZIGO YA MV. ARAFAT YATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGA

Meli ya mizigo ”Mv Arafat” inayofanya safari zake kupeleka shehena ya mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RASIMU YA KATIBA MPYA YAPENDEKEZA KUWEPO KWA SERIKALI TATU.....

Leo ni ufunguzi wa rasimu  ya katiba  mpya  na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema  kwamba  Rasimu hiyo  imependekeza kwamba matokeo ya rais yahojiwe mahakamani. Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIBU YA BIG BROTHER LEO IMEHAMIA KWA ANNABEL WA KENYA....HII NI VIDEO YAKE...

<!-- adsense --> Alianza  Huddah  kujianika  mtupu  mbele  ya  camera za Big Brother, Akafuata  mrembo wa   Nigeria   Beverly Osu  na  sasa  ni  mrembo  mwingine  wa  Kenya  ajulikanye  kwa  jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALBERT MANGWEA AAGWA NA WATANZANIA WALIOKO AFRIKA KUSINI.....MWILI WAKE...

Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa Albert Ngwea kuelekea katika safari ya mwisho wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDO HUTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JUNE 3, 2013

 HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JAJI JOSEPH S. WARIOBA, KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UZINDUZI WA RASIMU YA KATIBA TAREHE 03 JUNI, 2013 KWENYE VIWANJA VYA UKUMBI...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>