SHINDANO la Big Brother
Afrika limeendelea kwa washiriki wawili kutolewa katika wiki ya kwanza
ya mchezo huo ambao unashirikisha washiriki wapatao 28 kutoka nchi 14
barani Afrika.
Jumatatu
iliyopita washiriki walipata nafasi ya kutoa mapendekezo yao ya
kuchagua washiriki ambao wanaona wanafaa kuingia katika Danger Zone
ambapo watano kati yao ndio waliotajwa mara nyingi zaidi na
↧