$ 0 0 Meli ya mizigo ”Mv Arafat” inayofanya safari zake kupeleka shehena ya mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa hitilafu ya umeme. Credit: ITV <!-- adsense -->