Leo ni ufunguzi wa rasimu ya katiba mpya na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kwamba Rasimu hiyo imependekeza kwamba
matokeo ya rais yahojiwe mahakamani.
Kwa lugha nyingine ni kwamba katiba ijayo itaruhusu Rais
kushtakiwa mahakamani endapo matokeo yake yatatiliwa shaka na wagombea
wengine.
Jaji Warioba ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa
↧