Jamaa akimmalizia mtuhumiwa kwa tofali...
Kibaka mmoja amejikuta akiyaaga maisha ya uraiani baada ya kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali....
Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana
baada ya kibaka huyu kuingia ndani ya nyumba ya mtu na kuiba begi...
Taarifa zinaeleza kwamba, raia mwema ambaye ni mkazi wa nyumba hiyo
↧