Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard
Membe amesema kamwe Tanzania haitaiomba radhi Rwanda, baada ya Rais
Jakaya Kikwete kuishauri nchi hiyo kufanya mazungumzo na upinzani ili
kumaliza vita katika eneo hilo la Maziwa Makuu.
Serikali ya Rwanda iliitaka Tanzania iombe radhi
kwa madai kuwa kauli ya Rais Kikwete ni kama tusi kwao na
↧