<!-- adsense -->
Kinachoonekana ni kwamba, BBA ni sawa na shindano la laana ambamo asilimia kubwa ya washiriki wake ni wacheza filamu chafu au watu wenye skendo mbaya....
JUZI tuliandika juu ya kuvuja kwa video chafu ya mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ambaye ni raia wa Zimbabwe......
Mshiriki huyo ni mwanadada maarufu kwa jina la Pokello. Katika
↧