WAKATI wawekezaji wakigeni wakizidi
kunufaika huku watanzania wakiendelea kuishi katika lindi la
umaskini,Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media Reginald Mengi
ameipongeza Serikiali ya Rais Jayaka Kikwete kwa hatua ya kuuza nchi
kwa wawekezaji hao.
Pongezi za Mengi kwa Serikali ya Rais Kikwete imekuwa na tafsiri
tofauti kutokana na jinsi ambavyo wawekezaji hao
↧