Maneno huumba....!!! Huddah ameliaga shindano hilo...
------------------------
Huddah
ambaye ni mshiriki kutoka Kenya alijikuta akibubujikwa na machozi jana wakati
akimuelezea Angelo (SA) kuhusiana na uhusiano wake wa kimapenzi ambao
ni wa ku-beep yani vuta nikuvute ambao amekuwa nao nchini kwao. Mrembo huyo hakutaja jina la mpenzi wake lakini inahisiwa
alimaanisha kuwa
↧
HUDDAH TOKA KENYA AYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER..... MWAKILISHI WA TANZANIA ALIA NA WAVUTA BANGI
↧