Wakati mwingine matatizo hukutanisha watu waliokosana na kuufufua
tena urafiki wao. Harakati za maandalizi ya mazishi ya marehemu Albert
Mangwea zimewakutanisha marafiki wawili walioingia kwenye tofauti hivi
karibuni, Lady Jaydee na TID.
Hivi karibuni TID alitangaza kujitoa kwenye show ya miaka 13 ya
Jaydee na kuweka sababu tatu. Kutokana na uamuzi huo wa TID, watu
walimchukulia
↧