Kuna wakati mtu anaweza kuweka hadharani siri yake kwa nia
njema ya kuokoa maisha ya watu wengine watokana na ushuhuda wake, na hii ni kwa
kuwa watu wengi huwa wagumu wa kubadilika hadi waone mfano hai ama mtu
aliyeathirika kutokana na tabia flani akitoa ushahidi.
Muigizaji mkongwe
mwenye umri wa miaka 68 Mmarekani Michael Douglas ameweka wazi kuwa tatizo lake
la kansa ya koo
↧