HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA
MABADILIKO YA KATIBA, JAJI JOSEPH S. WARIOBA, KATIKA MKUTANO WA
WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UZINDUZI WA RASIMU YA KATIBA TAREHE 03 JUNI,
2013 KWENYE VIWANJA VYA UKUMBI WA KARIMJEE, DAR ES SALAAM.
UTANGULIZI Ndugu Wananchi,Awali
ya yote namshukuru mwenyezi mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua hii ya
leo ya kuzindua Rasimu ya Katiba. pia, niwashukuru ninyi
↧