POLISI Mkoa wa Ilala, jijini Dar es Salaam imeendesha oparesheni
maalum ya kuwanasa machangudoa wanaofanya biashara hiyo haramu katika
eneo lao na kufanikiwa kuwaweka ‘mtu kati’ makahaba kibao, wakiwemo raia
wa Rwanda na Burundi...
Kamatakamata
hiyo ilichukua nafasi usiku mnene wa Alhamisi ya Mei 23, mwaka huu
kwenye danguro kubwa la makahaba lililopo Kariakoo, jijini Dar ambalo
↧