Facebook
imefuata mkondo Twitter kwa kuanzisha akaunti na kurasa
zilizothibitishwa (verified pages/accounts) ili kuwawezesha watu
mashughuli kuthibitisha akaunti akaunti na fan page zao. Facebook
wamesema wamefanya hivyo ili kusaidia watumiaji wa Facebook kuzitambua
akaunti za kweli za mastaa na watu wengine mashughuli wanaotumia mtandao
huo, pia ikiwemo biashara zenye majina
↧