Kauli iliyotolewa na mbunge wa kilindi Beatrice
Shelukindo ya kuwa msikiti wa barabara ya saba uliopo katika manispaa ya Dodoma unafundisha mafunzo
ya ugaidi na kareti kwa waumini wake imeuathiri msikiti huo.
Akizungumza na Jombo Shekhe Mohamed Awadhi wa msikiti huo
alisema kauli yake hiyo Imewaathiri waumini wake kutokana kuukimbia na baadhi
ya wanafunzi waliokuwa wakisoma masomo kuhamishwa
↧