WASANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’
na Jacqueline Wolper Massawe ‘Wolper’ wamemaliza bifu lao lililokuwa
likifukuta kama moto wa kifuu mwishoni mwa wiki mbili zilizopita.
Akizungumza na mwandishi wetu katikati ya wiki hii, Baby alisema
alikuwa Mkoani Geita kwa ziara ya kikazi lakini alipigiwa simu na Wolper
akimuomba msamaha kutokana na tofauti zao
↧