<!-- adsense -->
The Prezidaa CMB Prezzo ambae alikuwa mshiriki wa shindano
la Big Brother Africa msimu uliopita amejiunga na project ya watu wanaompigia
debe the boss Lady toka Kenya Huddah Monroe ambae alikuwa mpenzi wake ili asitoke
kwenye jumba hilo wiki hii.
Prezzo ameitumia akaunti yake ya twitter kujiunga na kile
kinachofahamika kama #ProjectSaveHuddahMonroe na yeye ameandika
↧