Mtu
mmoja aliyetambulika kwa jina la Ismai Mayoba(31) anayefanya kazi Bar ya
Mangrove,Mkazi wa Manispaa ya Lindi amenusurika kifo baada ya
kuvamiwa na kundi la Vijana waliotaka kumpora na hatimae kumchoma moto.
Kwa sasa kijana huyo amelazwa katika Hospital ya Sokoine Mjini humo.
Kufuatia tukio hilo,Jeshi la Polisi wilayani Lindi limefanikiwa
kumkamata mtu mmoja kati ya watuhumiwa
↧