Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imetunga sheria ya kupiga marufuku ndoa za watu wa jinsia moja.Waziri
wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Bwana Abubakar Khamis Bakar, aliyasema
hayo kwenye Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati akijibu
swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi, Saleh Nassor Juma kutoka Chama cha
Wananchi (CUF).
Katika swali lake, Bw. Saleh Nassor Juma alitaka
kujua
↧