Mkazi mmoja wa Mwangata katika Manispaa ya Iringa amenusurika kuuwawa na wananchi baada ya kukutwa akimbaka binti wa miaka kumi.
Tukio
hilo linaelezwa kutokea jana saa nane mchana, pale ambapo mazazi wa binti
huyo alipomsikia mwanaye akilia kwa uchungu, na aliposogea kujua
kulikoni, alimshuudia kijana huyo akiendelea na ubakaji jambo
lililosababisha apige kelele kuomba msaada wa
↧