DAWA za kulevya ni hatari, ni hatari sana. Maisha ya baadhi ya wasanii na wachezaji yamepotea kutokana na matumizi ya dawa hizo.Aidha, dawa za kulevya husababisha baadhi ya wasanii na wachezaji kushindwa kuendelea na fani zao.Orodha
ya wasanii waliopoteza maisha kutokana na matumizi ya dawa za kulevya
ni ndefu lakini baadhi yao ni Elvis Presley, Whitney Houston, Brenda
Fassie wa Afrika
↧