Kiongozi wa kundi la M23 Bertrand Bisimwa Photo AFP / Isaac Kasamani
Kundi
la waasi la M23 la nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC
linarejea katika mazungumzo ya amani na serikali ya Kinshasa mwishoni
mwa juma hili mazungumzo ambayo serikali ya nchi hiyo inaona kuwa ni
jambo sahihi katika utatuzi wa mgogoro huo.
M23
chini ya kiongozi wake Bertrand Bisimwa walitangaza uamuzi
↧