MWIGIZAJI Bongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameibuka na kusema kuwa vifo
vya wasanii vimetokea kutokana na kujisahau hivyo Mungu ameamua
kuwaadhibu.
Akiongea
na mwandishi wetu katika Viwanja vya Leaders Club, Juni 5, mwaka huu
ambapo mwili wa Mangwea ulikuwa ukiagwa, Dokii alisema matukio ya vifo
vya wasanii mbalimbali yaliyotokea miaka miwili mfululizo ni pigo kubwa
kwani wengi ni vijana
↧