Suala la uwepo wa rushwa ya ngono kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limetinga bungeni.Suala hilo Lilijitokeza
jana wakati Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu (CCM),
alipomaliza kujieleza bungeni akiomba kura kwa wabunge wamchague awe
mjumbe kwenye taasisi hiyo.
Baada
ya Mbunge huyo kumaliza kujieleza, alisimama Mbunge wa Viti Maalumu,
Naibu Waziri wa Jinsia na Watoto, Ummy Ally
↧